HUAWEI NA WIZARA YA ELIMU KUSHIRIKIANA KUTEKELEZA MIRADI YA TEHAMA KATIKA ELIMU
Ujumbe kutoka Huawei Tanzania, ukiongozwa na Bw. Ross Chen, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei Kanda ya Afrika Mashariki, umekutana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kujadili ushirikiano katika kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika sekta ya elimu.
Katika kikao hicho, kilichoongozwa na Prof. Daniel Mushi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, wamejadili kuhusu utekelezaji wa miradi ya kidijitali inayolenga kuwezesha ufundishaji kwa kutumia TEHAMA.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

