logo

WANAFUNZI WALIODAHILIWA VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI IMEONGEZEKA KUFIKIA 199,118 MWAKA 2024/25

"Idadi ya Wanafunzi waliodahiliwa katika vyuo vya elimu ya Ufundi imeongezeka kufikia Wanafunzi 199,118 mwaka 2024/25 ikilinganishwa na idadi ya Wanafunzi 161,750 waliodahiliwa kwa mwaka 2021/22".

.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 12, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn