PROF.MKENDA:VIPAUMBELE VYA WIZARA YA ELIMU 2025/26 KUONGEZA NA KUIMARISHA UBORA WA ELIMU YA JUU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema vipaumbele vya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26 ni kuimarisha uwezo wa nchi katika utafiti, Matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu ili kuchangia upatikanaji wa maendeleo endelevu.
"Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya awali,msingi, Sekondari na Ualimu.
"Kuongeza na kuimarisha ubora wa Elimu ya Juu"alisema.
Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 12, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Aidha, amesema kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria,uandaaji wa Miongozo na Utoaji wa mafunzo.
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

