LAINI ZA SIMU ZILIZOSAJILIWA ZIMEONGEZEKA MILIONI 90.4 MWEZI APRIL, 2025-WAZIRI SILAA
"Idadi ya laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka Milioni 73.5 mwezi April,2025 hadi laini Milioni 90.4 mwezi April 2025 sawa na ongezeko la asilimia 22.9"
.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha bungeni bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, tarehe 16 Mei, 2025 jijini Dodoma.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

