logo

WAZIRI ULEGA APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI KIVUKO CHA MV TANGA

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amepokea Taarifa ya Kamati ya uchunguzi ya Kivuko cha MV. Tanga kinachotoa huduma wilayani Pangani, Mkoani Tanga leo Mei 20, 2025 Ofisini kwake jijini Dodoma.

Kamati hiyo aliiunda Mei 13, 2025 alipofanya ziara mkoani Tanga na kuipa siku Saba kuchunguza changamoto zinazojitokeza mara kwa mara katika kivuko hicho baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kuhusu kusuasua kwa utendaji wake.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn