MKOMI ATEMBELEA BANDA LA BODI YA MFUKO WA BARABARA CHINANGALI PARK DODOMA
Katibu MKUU Ofisi ya RAIS, Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora, Bw. Juma Seleman Mkomi ametembelea banda la Bodi ya Mfuko wa Barabara (Roads Fund Board) lililopo katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma, ambapo amesema anafurahishwa na huduma zinazotolewa na Bodi hiyo katika kuhakikisha matengenezo ya miundombinu ya Barabara inakuwa vyema kila kona hapa nchini.
.
Aidha, Bodi ya Mfuko wa Barabara (Roads Fund Board) inashiriki kwenye Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza Juni 16,2025 katika viwanja hivyo na kutarajiwa kuhitimishwa Juni 23,2025.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

