logo

KAMPENI YA ULAJI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHI YAFIKA KWENYE MAONESHO YA NANE NANE JIJINI DODOMA

Pichani ni Afisa Lishe kutoka Wizara ya afya Idara ya kinga na Huduma za Lishe Bw. Haliye Aboubakar, akizungumza na wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Afya leo August 04,2025 ili kuweza kupata elimu juu ya ulaji wa Vyakula vilivyoongezwa virutubishi, kwenye Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn