SERIKALI IMEJIPANGA KURAHISISHA SHUGHULI ZA KILIMO TANZANIA" -MHANDISI ANNA
Mkurugenzi Idara ya Zana za Kilimo na Uongezaji Thamani kutoka Wizara ya Kilimo, Mhandisi Anna Mwangamilo akiwaonesha wanafunzi zana mbalimbali za kilimo katika banda la Idara hiyo kwenye Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma.
Akiwa na wanafunzi hao, Mhandisi Anna amewaelekeza namna ambavyo serikali imejipanga katika kuhakikisha inarahisisha shughuli za kilimo hasa kwa kuhakikisha uwepo wa zana za kisasa za kilimo kama Matrekta.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

