KAMATI YA BUNGE YAPITISHA RANDAMA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepitisha randama ya mpango na makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida pamoja na mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Mpango huo umepitishwa na kamati Machi 24, 2026 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Husna Sekiboko, ambae amesema mpango huu unakwenda kuwa chachu ya kuandaa vijana wenye ujuzi.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

