WAZIRI DKT.HOMERA KUWASILISHA BAJETI YA KATIBA NA SHERIA 2026/27 BUNGENI LEO
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, tayari amewasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya 2026/2027.
Hotuba hii inawasilishwa leo tarehe 24 Aprili, 2026.
.
Usikose kufuatilia matangazo ya Bunge leo ili kuweza kufahamu Mpango wa Utekelezaji wa Wizara ya Katiba na Sheria.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

