logo

MIKATABA YA MRADI WA UENDELEZAJI JIJI LA DAR YASAINIWA LEO MEI 30

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Angellah J. Kairuki akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu L.Nchemba pamoja na viongozi wengine wakishuhudia utiaji saini wa mkataba wa mradi wa uendelezaji Jiji la Dar es Salaam awamu ya pili (DMDP 2) katika jiji la Dar es salaam (Ilala) chini ya Mhandisi UWP Consulting (t) Ltd, Na katika Manispaa za Temeke na Kigamboni chini ya Mhandisi Consultancy Ltd & Luptan katika hafla hiyo fupi iliyofanyika ukumbi wa Mkapa jijini Dodoma tarehe 30 Mei, 2023.

@ortamisemi

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn