MCHEZAJI KARIM BENZEMA APANGA KUONDOKA REAL MADRID HIVI KARIBUNI
MCHEZAJI Wa Real Madrid Karim Benzema Inaripotiwa ya Kwamba ameiarifu Klabu yake ya Real Madrid kuwa yupo tayari kuondoka na kutimkia Saudi Arabia ambapo amepewa ofa nono yenye mshahara wa takribani Bilioni 250 kwa mwaka ,kuishi katika Jiji apendalo,kumiliki asilimia 100 wa haki ya picha,ubalozi wa Saudi Arabia.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

