
MWIMBAJI PAUL CLEMENT AACHIA ALBUM MPYA 'ZAWADI'
MUIMBAJI wa Muziki wa Injili Kutoka Hapa Nchini Paul Clement(@ministerpaulclement) Ameachia Album Mpya inayokwenda kwa Jina la ZAWADI ALBUM Yenye Nyimbo 19 ambazo amewashirikisha wasanii kama vile Bella Kombo, Sakina Naftali,Josh Cleopa,Manolo,Calledout Music.
.
Na Kwa Hivi Sasa inapatikana Katika Platform zote za Music ikiwemo na @boomplaymusic_tz, @audiomack nk, kwahiyo Unaweza kupakua na Ukaenjoy Kusikiliza Muziki Mzuri.
.
Tayari nimeshasikiliza Track 5 na Kwangu Mimi Nimeikubali Nyimbo ya 'Mungu Alijua', 'Zawadi', 'Mwanadamu', 'Amefanya Mungu' na ',Thank You'.
.
Nipe Tano (5) Zako Mtu Wangu Ili Twende Sawaa...!!.
@ministerpaulclement
#JordanMediaupdates
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news