ALLY JOKA AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM
KIJANA Ally Maulid Joka mwenye Umri wa Miaka 26 aliyekuwa hawezi ishi bila Usaidizi wa upumuaji kupitia mtungi wa gesi ambao kuujaza humgharimu Ally shilingi 45,000 na huwa anaujaza kila baada ya siku mbili Amefariki Dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, Jijini Dar es Salaam.
.
Joka alikuwa akisumbuliwa na mfumo wa Upumuaji na Kusababisha Mapafu kutofanya kazi yake Vizuri, hivyo basi Kwa Jitihada za madaktari alikuwa akipumua Kwa Usaidizi wa Mitungi ya Gas ya 'Oxygen' na mashine ya Usaidizi Umeme 'Concentrator Machine'.
.
Wiki Kadhaa zilizopita aliwahi kupita katika kipindi Cha #NJIAPANDA kinachorushwa na @cloudsfmtz Na Kwa ushirikiano Madhubuti wa utu na watu, walimshika mkono Kwa Kadri Mungu alivyowabariki.
#RIPAllyJoka🙏🙏
#JordanMediaupdates
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

