logo

MCHEZAJI KOULIBALY: NILIAMUA KUJIUNGA NA TIMU YA AL HILAL KWA SABABU YA PESA TU

BEKI wa zamani wa klabu ya Ligi Kuu nchini England, Chelsea, Khalidou Koulibaly ambaye ni raia wa Senegal, amefichua kwamba aliamua kujiunga na klabu ya nchini Saudi Arabia Al-Hilal kwa sababu ya pesa tu.

.

Koulibaly amesema "siwezi kukataa, kwasababu ya hizi pesa nitaweza kuisaidia familia yangu iishi vizuri, kuanzia wazazi hadi wapwa wangu."

.

Wachezaji wengi wa kulipwa, hukanusha kwamba wamejiunga na klabu kwa ajili ya mshahara mkubwa ila Koulibaly ambaye atakuwa anapokea pauni laki tatu kila wiki huko Saudia, ameamua awe muwazi tu.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn