AKON:AFRICA KUWA TAIFA LENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI INAWEZEKANA
MSANII Mkongwe Kutoka Nchini Senegal,Akon Kwenye Mahojiano Aliyoyafanya Na Kituo Cha TV Cha Revolt, Amesema Bara La Afrika linaweza Kuwa Taifa Lenye Nguvu Zaidi Duniani Endapo Wamarekani Weusi Watarudi Nyumbani Africa.
.
Akon Amesema yeye lengo lake ni kuona Waafrica waliopo nje wanarejea Africa kwa maana kila walichokipambania huko Nje Vyote vinapatikana Africa.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

