logo

TTCL NA ESCOM ZASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO ZANZIBAR

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania(TTCL) limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Nchini Malawi inayosimamia Mkongo wa Mawasiliano - Electricity Supply Corporation of Malawi Limited (ESCOM) tarehe 08 Septemba, 2023 Kijangwani Zanzibar.

Hafla hiyo ya kusaini Makubaliano imeshuhudiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye (Mb) , Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe Khalid S.Mohamed na Waziri anayesimamia Mawasiliano kutoka Serikali ya Malawi (Ministry of Information and Digitalisation )Mhe. Moses Kunkuyu Kalongashawa.

@ttcl_corporation

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn