logo

TEMESA YASAINI MKATABA NA SONGORO MARINE

SERIKALI kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), leo Tarehe 23 Aprili, 2023 imesaini Mkataba na Kampuni ya Songoro Marine wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachogharimu shilingi Bilioni 3.8 mpaka kukamilika kwa ajili ya kutoa huduma katika maeneo ya Buyagu na Mbalika Wilaya za Sengerema na Misungwi Mkoani Mwanza.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn