ZOLEKA MANDELA 'MJUKUU WA NELSON MANDELA' AFARIKI DUNIA
Mjukuu wa Shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela, Zoleka Mandela, amefariki dunia mara baada ya kuugua saratani, familia yake imethibitisha kutokea kwa kifo chake.
Zoleka, ambaye Mwandishi wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa kimataifa inaripotiwa alilazwa hospitalini tarehe 18 Mwezi Septemba 2023 kwa ajili ya kupata matibabu ya saratani ya nyonga, ini, mapafu, pelvis, Ubongo na uti wa mgongo.
.
Uchunguzi wa hivi karibuni inadaiwa kuwa ugonjwa huo ulipelekea kuwa na fibrosis kwenye mapafu.
.
Zoleka amefariki jana Jumatatu jioni Septemba 25,2023 akiwa amezungukwa na marafiki na familia na amefariki akiwa na umri wa miaka 43.
#RIPZolekaMandela
#JordanMediaupdates
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

