SAGINI ATEMBELEA OFISI YA CCM MKOA WA SIMIYU
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe.Jumanne Sagini ametembelea Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu na kupokea salamu za Chama hicho leo Novemba 22, 2023 akiwa Mkoani humo kwa ziara yake ya kikazi.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

