logo

KUNDO ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA UBUNIFU 2023

NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi.Kundo Mathew Leo Aprili 27, 2023 Ametembelea maonesho ya Wiki ya Ubunifu yanayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

.

Katika Maonesho Hayo, Kundo Ameonesha kufurahishwa Na Bunifu Tofauti zilizotengenezwa na Taasisi/Kampuni Mbalimbali ambazo zimeletwa Kwenye Maonesho Hayo.

.

Maonesho Hayo Kilele chake inatarajiwa Kesho April 28,2023 Huku Wizara Ya Elimu, Sayansi Na Teknolojia ikitoa Wito Kwa Wananchi Wote Kujitokeza Kwa Wingi.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn