logo

NAIBU WAZIRI UMMY NA MWANAIDI WAHANI MSIBA WA BABA YAKE WAZIRI MASAUNI 'MZEE MASAUNI' MIGOMBANI ZANZIBAR

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe.Ummy Nderiananga,Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.Mwanaidi Khamis pamoja na Katibu Mtendaji Baraza la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Ofisi ya Makam wa Kwanza wa Rais Zanzibar Ndug.Ussy Debe wamemtembelea na kumfariji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Masauni kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Wamemtembelea Machi 3,2024 nyumbani kwake Migombani Mkoa wa Mjini Unguja Zanzibar.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn