logo

DORIS MOLLEL FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA TIBA KWA AJILI YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA WILAYA MPWAPWA JIJINI DODOMA

Taasisi ya Doris Mollel Foundation jana April 14,2024 imekabidhi vifaa tiba kwa ajili ya kuboresha huduma kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma.

Vifaa hivyo vimepokelewa na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo ambaye ameishukuru Taasisi hiyo kwa kusaidia kuboresha huduma hizo hospitalini hapo.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn