Top news
SERIKALI KUFANYA TATHMINI YA ATHARI NA MAHITAJI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Pwani pamoja na wadau kutoka Mashirika mbalimbali wamefanya tathmini ya athari na uharibifu kwa waathirika wa mafuriko katika kata mbalimbali Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani ili kupata taarifa kamili zitakazoisaidia Serikali katika kuchukua hatua za muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kwa waathirika wa mafuriko yalitokea Wilayani humo.
Timu hiyo imetembelea leo (Aprili 17, 2024) katika kata ya Mkongo pamoja na Kata ya Ngorongo Wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

