ZAINAB AFANYA UKAGUZI WA MIRADI PANGANI
MKUU Wa Wilaya Ya Pangani Mhe.Zainab Abdallah (@zainababdallah93) Leo Mei 4,2023 Amefanya Ukaguzi wa miradi Mbalimbali itakayotembelewa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Katika Wilaya Hiyo.
.
Zainab Anawakaribisha wana Pangani na majirani kuungana nao siku ya Jumamosi 10/06/2023 katika Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Katika Wilaya Hiyo.
.
"Historia inaenda kuandikwa Pangani inshaaAllah.Tumejipanga na tupo tayari🙏" Amesema Zainab.
@zainababdallah93
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

