logo

MHE.KUNDO MATHEW AKAGUA MIUNDOMBINU YA MAJI DUWASA

Naibu Waziri wa Maji, Mhe.Mhandisi Kundo Mathew ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuhakikisha matengenezo ya pampu iliyopo na uwekaji wa pampu mpya katika Kituo kidogo cha kusukuma maji kilichopo Ilazo Jijini Dodoma unafanyika ndani ya saa 48 kuanzia leo ili wananchi wa Ilazo na maeneo jirani wapate huduma ya maji.

Mhe.Mathew ametoa maagizo hayo leo Juni 25,2024 wakati wa ziara yake ya kukagua miundombinu ya maji katika kituo hicho baada ya kutokea hitilafu ya pampu ya maji.

Kituo hicho cha kusukuma maji kimejengwa kwa lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo ya Ilazo.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn