WAZIRI AWESO AKAGUA MITAMBO YA KUZALISHA MAJI RUVU JUU NA CHINI
Waziri wa maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua Hali ya uzalishaji maji katika mitambo ya Ruvu juu na Ruvu chini iliyopo mkoani Pwani.
Ziara hiyo imelenga kuangalia hali ya uzalishaji maji katika mitambo hiyo inayotumika na wakazi wa Mikoa ya Dar na Pwani.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

