logo

KAMATI YA BUNGE YA MAJI NA MAZINGIRA YAWASILI MKOANI TANGA KUKAGUA MIRADI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira mapema leo imewasili mkoani Tanga kwa kazi ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji mkoani hapo ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe.Jackson Kiswaga(Mb)

Kamati hiyo imepokelewa na Mkuu wa Mkoa na Tanga Mhe.Batilda Buriani na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara Mhandisi Mwajuma Waziri.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn