TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KUDHIBITI UHALIFU MTANDAONI
Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia katika masuala yanayohusu uhalifu kwa ujumla ikiwemo uhalifu wa mitandaoni na jinsi ya kukabiliana na majanga mbalimbali ikiwemo majanga ya moto,ajali za barabarani na majini.
.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni baada ya kusaini hati ya makubaliano kwa upande wa Serikali ya Tanzania huku kwa upande wa Serikali ya Saudia hati hiyo ikisainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwanamfalme Abdul Aziz Bin Saud Al Saudi.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

