UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 KUFANYIKA FEBRUARI 01,2025
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023 sasa itakuwa ni tarehe 01, Februari 2025.
.
Prof.Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma kuhusu mabadiliko ya tarehe ya hafla ya uzinduzi wa Sera mpya ya Elimu.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

