MKUU WA JKT AFUNGUA MAFUNZO OPERESHENI LINDA AMANI 2026 RUVU JKT MKOANI PWANI
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewataka vijana wanaopatiwa mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria mwaka 2026 kuzingatia mafunzo watakayoyapata katika kipindi chote cha uwepo wao makambini, ili baada ya kuhitimu mafunzo hayo wawe chachu ya maendeleo katika jamii na Taifa kwa ujumla.
Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo leo Juni 15, 2026 wakati akifungua mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria Operesheni Linda Amani katika Kikosi cha Ruvu JKT kilichopo Mlandizi mkoani Pwani, kikosi ambacho kimewakilisha vikosi vingine vya mafunzo vya JKT katika ufunguzi wa mafunzo hayo.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

