logo

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.

.

Katika ufunguzi huo, Rais Samia alikuwa

ameambatana na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali ambapo miongoni mwao ni pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn