MWAKA 2024/25 TUMEPANGA KUTEKELEZA MIRADI 1,054 YA USAMBAZAJI MAJI VIJIJINI - WAZIRI AWESO
"Katika mwaka 2024/25, Wizara imepanga kuendelea kutekeleza jumla ya miradi 1,054 ya usambazaji maji vijijini katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo yanayozunguka vyanzo vya Bwawa la Kidunda na vijiji vilivyopitiwa na mradi wa Same Mwanga.
"Aidha, kuendelea kuhamasisha ushiriki wa sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya maji, kuzijengea uwezo CBWSOs ili kuimarisha uwezo wa kujiendesha".
.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso alipokuwa akiwasilisha Makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

