
MWENGE WARIDHISHWA NA MIRADI 14 CHALINZE
MWENGE wa Uhuru 2023 umefika na kufanya ukaguzi Wa miradi ya Maendeleo 14 yenye thamani ya Fedha Shiling Bilioni 2.2 Katika Halmashauri Ya Wilaya Ya Chalinze.
.
Mwenge umeridhishwa na ukamilifu wa miradi hiyo na umetoa pongezi Kwa Uongozi Wa Halmashauri Hiyo.
.
Nae Mbunge Wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amewapongeza na kuwashukuru sana watendaji na Madiwani wote wa Chalinze kwa usimamizi uliotukuka.
@ridhiwani_kikwete
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news