logo

CRDB YAKABIDHI MADARASA 2 SHULE YA SEKONDARI KALIMAJI, ARUSHA

BENKI ya CRDB leo Mei 17 imekabidhi kwa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Madarasa mawili katika Shule ya Sekondari ya Kalimaji yenye thamani ya Shilingi milioni 42.

Madarasa hayo yamepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe.Felician Mtahengerwa ambae amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mhe. John Mongela.Mhe.Mtahengerwa ambapo ameishukuru Benki Hiyo kwa kuendelea kusaidia jitihada za Serikali katika kuboresha katika sekta ya elimu nchini.

Ujenzi wa madarasa hayo ni sehemu ya utekelezaji wa Sera yetu ya Uwekezaji kwa Jamii (CSI Policy) ambayo inaelekeza asilimia 1 ya faida ya benki yetu kila mwaka kuwekezwa katika miradi ya maendeleo ya jamii.

@crdbbankplc

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn