
SHIRIKA LA NDEGE KUWAPIMA ABIRIA WAKE KWENYE MIZANI KABLA YA KUPANDA NDEGE
ZAIDI ya abiria 10,000 wanaosafiri na Ndege Aina Ya Air New Zealand Kuanzia mwezi Juni wataombwa kukanyaga mizani kabla ya kupanda ndege yao.
Shirika hilo la ndege linatafuta wale wanaosafiri kwenye mtandao wake wa kimataifa kushiriki katika uchunguzi wake wa uzito wa abiria.
Ni mpango "muhimu" wa kuhakikisha "uendeshaji salama na mzuri wa ndege", kulingana na Air New Zealand, na pia ni hitaji kutoka kwa Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya nchi.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news