
SIMBA SC YALAMBA MILIONI 5 BAADA YA USHINDI
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson @tulia.ackson akimkabidhi nahodha wa Timu ya Simba John Bocco kiasi cha shilingi milioni 5 ambazo ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa timu ya Simba kwa kila goli itakalofunga katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika.
Katika Mchezo uliochezwa leo Aprili 22, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa timu ya Simba imeibuka na ushindi wa Goli 1 kwa 0 dhidi ya timu ya Wydad kutoka nchini Morocco.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news